1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages


 

 | 29.07.2010 | 15:00 UTC

FSB yapewa nguvu zaidi

Moscow:

Rais wa Urusi Dmitry Medvedev amesaini sheria mpya kwa ajili ya kuliimarisha shirika la upelelezi la nchi hiyo FSB.

Ikulu ya Urusi Kremlin imesema sheria hiyo inarudisha desturi iliyokuwa wakati wa enzi ya Sovieti ya kutoa tahadhari kwa watu inayoamini kuwa wanataka kufanya uhalifu.

Shirika hilo la FSB ambalo limechukua nafasi ya lile lililokuwa wakiti wa Sovieti KGB, sasa linaweza likamuita mtuhumiwa kwa mazungumzo ya tahadhari ili kuzuia jaribio la tendo la uhalifu dhidi ya usalama wa nchi.

Hata hivyo wakosoaji wanasema kuwa sheria hiyo inaweza kutumiwa kutishia uhuru wa waandishi wa habari na makundi ya upinzani na kuhujumu ahadi za rais Medvedev za kuendeleza haki za raia.



 
Wafanyakazi
Waliochutama kutoka kushoto: Sekione Kitojo,Halima Nyanza,Josephat Charo na Ramadhani Ali. Waliosimama kutoka Kushoto: Susanne Bergers-Rose,Abdul Mtullya,Saumu Mwasimba,Mohamed Abdulrahman,Othman Miraji, Andrea Schmidt,Thelma Mwadzaya, Mohamed Dahman,Oumilkher Hamidou,Samia Othman na Nina Markgraf

DW-TV EUROPE live

Im Focus

We're sorry, due to legal issues this content can not be transmitted as live stream.

If you are inside the United States, it is still possible for you to enjoy DW-TV. For more information, please click here.

Tamasha la Beethoven
Beethovenfest Bonn
Kiswahili On Your Desktop via RSS
RSS